Neymar Kijana anayechukiwa na wanazi hahaha

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Neyma ni Kijana mahiri sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,

Mpira aliocheza Neymar jana watu ambao hawakuona mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama

Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,

Commentator 2: this is because of pressure from the audience,

Naishia hapo

PSG walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa

Fauls zaidi ya nne zimekaushiwa
 
Neyma ni Kijana mairi Sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,

Mpira aliocheza neymar Jana watu ambao hawakuona Mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama

Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi Ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,

Commentator 2: this is because of pressure from the audience,

Naishia hapo

Psg walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa

Fauls Zaid ya nne zimekaushiwa

let me the first to reply.

yaani unaweweseka sijui kwa nini. hayo unayoyasema huwa yanaangaliwa sana na uefa na hawawezi kuyaachia hivi hivi. kimsingi hayawezi kutokea kwa refa anayependa career yake. hivyo unachosema sio kweli. unaweweseka baada ya matokeo. bora ungesubiri marudiano au uefa ya mwaka kesho.
 
Baada ya kupokea ujumbe toka jamiiforums tanzania na kujiridhisha kupitia kamati yake. Uefa imeamua kufuta matokeo ya mchezo kati ya real madrid dhidi ya Psg, na sasa mchezo mwingine umepangwa katika uwanja wa chamazi.

[emoji377][emoji377][emoji377] udi wa tarime sio wa mchezo asee
 
😀😀😀 ujumbe huu umfikie mleta uzi. Sijui hakufatilia mechi ya jana!! Neimar alikuwa anajichenga mwenyewe tu. Alafu anataka yeye tu ascore 😀😀😀 hayo mambo awaachie wazee wa kazi akina Messi,cr7 and Dybala.
 
Neyma ni Kijana mahiri sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,

Mpira aliocheza Neymar jana watu ambao hawakuona mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama

Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,

Commentator 2: this is because of pressure from the audience,

Naishia hapo

PSG walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa

Fauls zaidi ya nne zimekaushiwa
Mahaba ya yule refa kwa Madrid niliyaona muda sana sishangai kwa matokeo yale
 
Tofautisheni mizuka na uhalisia uwanjani. Yaani mlitegemea PSG inafunga vitimu huko France ageuze wembe huohuo kumnyolea RMA? Tena kwenye mashindano makubwa namna hii?
 
Kwa mpira ule neymar akishinda balon O'dor basi kipindi hicho abaki yeye na lukaku,giroud,torres

😀😀😀😀 anasafari ndefu sana huyu dogo. Messi kasaini mkataba adi 2021. Na bado on fire ile mbaya, ballon 3 zinamsubiri. Hapo neimar atakuwa na 30 years old without ballon 😀. Arudi kwao santos huku hapamfai. Huku wanatakiwa vidume kweli kweli na sio warembo
 
Tofautisheni mizuka na uhalisia uwanjani. Yaani mlitegemea PSG inafunga vitimu huko France ageuze wembe huohuo kumnyolea RMA? Tena kwenye mashindano makubwa namna hii?

Ndio shangaa sasa. Waliokuwa wanaibeza psg hawaonekani kwa sasa. Aibu yao 😀
 
Neyma ni Kijana mahiri sana anayeonesha uwezo wake wa haki ya juu sana,

Mpira aliocheza Neymar jana watu ambao hawakuona mpira wasubiri kusimuliwa matokeo wanalalama

Katika mechi ya Jana kuna makosa 6 ameyafanya mwamuzi wa mechi ile na commentator kasema this is because we are in Bernabeu that's why you see this Type of soft penalt and more advantageous on Madrid side,
Lot of fouls not awarded to Psg but soft ones to Madrid,

Commentator 2: this is because of pressure from the audience,

Naishia hapo

PSG walitakiwa kupata penalty mbili zikakaushiwa

Fauls zaidi ya nne zimekaushiwa

Mtoto wa mama.
 
let me the first to reply.

yaani unaweweseka sijui kwa nini. hayo unayoyasema huwa yanaangaliwa sana na uefa na hawawezi kuyaachia hivi hivi. kimsingi hayawezi kutokea kwa refa anayependa career yake. hivyo unachosema sio kweli. unaweweseka baada ya matokeo. bora ungesubiri marudiano au uefa ya mwaka kesho.
Sasa ndo umesema nini
 
Back
Top Bottom