Mnampa sifa ambazo hana Bali ni mbahatishaji tu yeye na Ronaldo cristiano
Baba yao wa soka ni Pele wa brazil
King ni yule aliecheza match 1380 na kufunga magoli 1280
Huyo ndiye king Pele wa brazil
Namuona Messi na mbuzi...vp unamaanisha Messi ni mbuzi?Siongezi neno, picha ishajieleza.View attachment 795986
G.O.A.TNamuona Messi na mbuzi...vp unamaanisha Messi ni mbuzi?
Ulitakiwa ufafanue sana juu ya hili maana kumuweka Messi na mbuzi bila maelezo ya kutosha..huku kwetu ushenzini watu wanaweza wakahisi unamdharau.G.O.A.T
Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro..The king of footballNgoja tuone
mambo ya Pele yalishapita ,tuzungumzie hawa waliopo leo watakaopambana Russia....akina Ronaldo,Neymar, MessiKing wa soka duniani ni Pele tu
Sawa lakini ukweli ni kwamba zama zake zimepita...Tuzungumzie hawa wa sasa hivi tunaowajua...huyo Pele hatujashuhudia akicheza hatuhusuYalishapita lakini mpaka leo hakuna alitefikia hata nusu ya kiwango chake japo wanajaribu kuiga alichofanya uwanjani
hahahaah mtu aliona ishu za kuaibishwa sio kalianzisha ili atolewe
Sawa lakini ukweli ni kwamba zama zake zimepita...Tuzungumzie hawa wa sasa hivi tunaowajua...huyo Pele hatujashuhudia akicheza hatuhusu
Yalishapita lakini mpaka leo hakuna alitefikia hata nusu ya kiwango chake japo wanajaribu kuiga alichofanya uwanjani