Neymar ni nyota atakayeibuka kuwa mchezaji bora wa Kombe la Dunia huko Urusi

Neymar ni nyota atakayeibuka kuwa mchezaji bora wa Kombe la Dunia huko Urusi

Messi mtu mwingine.hakuna mchezaji aliyemsumbua ramos na kutaka mvunja kiuno kama KING LEO MESSI
Mnampa sifa ambazo hana Bali ni mbahatishaji tu yeye na Ronaldo cristiano
Baba yao wa soka ni Pele wa brazil
 
Kichekesho 😀😀😀

King wa dunia ni mmoja tu. Hadhi yake ni kubwa ukilinganisha na pele wako n.k
King ni yule aliecheza match 1380 na kufunga magoli 1280
Huyo ndiye king Pele wa brazil
 
Siongezi neno, picha ishajieleza.
1528117198992.jpg
 
Kuna watu wananyimwa Ballon d'or kwa muda hukunwakiwa vizuri. Hii ni fursa kwao na tukumbushane baada ya michuano
 
Magoli ya kuotea/offside usilinganishe na ya Messi bwana! Ya messi yameenda shule.
Huyo messi wako mbona anafunga sana ya offside na bado atastaafu bila kufikisha goli 900
 
mambo ya Pele yalishapita ,tuzungumzie hawa waliopo leo watakaopambana Russia....akina Ronaldo,Neymar, Messi
Yalishapita lakini mpaka leo hakuna alitefikia hata nusu ya kiwango chake japo wanajaribu kuiga alichofanya uwanjani
 
Back
Top Bottom