Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Huyo messi wako mbona anafunga sana ya offside na bado atastaafu bila kufikisha goli 900
Ulitakiwa ufafanue sana juu ya hili maana kumuweka Messi na mbuzi bila maelezo ya kutosha..huku kwetu ushenzini watu wanaweza wakahisi unamdharau.
Hapa penyewe najua wengi hawajakuelewa maana yako ya G.O.A.T
Niko Spain lakini naona neymar akinyanyua ndoo
Mimi namuombea achue hata mimi namkubali mnoNampendaga mm
Mimi namuombea achue hata mimi namkubali mno
Kwakweli maana anasitahiliMungu amsaidie
Mungu amsaidie
Itapendeza king Messi akibeba, dunia nzima inatamani Argentina wabebe..
Mi naona huyu anakuzwa sana zaid ya kiwango chake
Sio dunia nzima jisemee upande wako mkuu
Messi hamna kitu kombe la dunia
Ufalme wake upo Barcelona tu
Uyu Pele ni king wa Santos sio Dunia.Sema mchezaji bora kuwahi kutokea Barcelona sio duniani
Dunia inamtambua king mmoja wa soka tu ambaye ni PELE
Uyu Pele ni king wa Santos sio Dunia.
Sema mchezaji bora kuwahi kutokea Barcelona sio duniani
Dunia inamtambua king mmoja wa soka tu ambaye ni PELE
King wa dunia kwa sababu 1 tu ndiye mchezaji pekee kutwaa kombe la dunia mara tatu kwa msaada wake mkubwa kwenye team haijawahi kutokea mpaka leoUyu Pele ni king wa Santos sio Dunia.
King wa dunia kwa sababu 1 tu ndiye mchezaji pekee kutwaa kombe la dunia mara tatu kwa msaada wake mkubwa kwenye team haijawahi kutokea mpaka leo
Huyo messi wako kombe la bara la America kusini tu limemshinda huo ufalme ataupatia wapi
Na bado atastaafu kwa sifa za Barcelona tu bora hata mwenzie Cr. Ronaldo
Labda haujui maana ya king na hao waliompaInamaana waliompa uking ni wajinga mpaka duniani kote wamemkubali na kumpa uking huyu mfalme unafikiri mchezo!! Chuki zako zitakupeleka pabaya mkuu! Jirekebishe wanakucheka humu..