Neymar ni nyota atakayeibuka kuwa mchezaji bora wa Kombe la Dunia huko Urusi

Ulitakiwa ufafanue sana juu ya hili maana kumuweka Messi na mbuzi bila maelezo ya kutosha..huku kwetu ushenzini watu wanaweza wakahisi unamdharau.

Hapa penyewe najua wengi hawajakuelewa maana yako ya G.O.A.T

Atakuwa hana maana hiyo unayohisi..huyu ni shabiki wa king MESSI kuwahi kutokea.
 
Messi hamna kitu kombe la dunia
Ufalme wake upo Barcelona tu
 
Mkuu hata umuchukie King Messi but haimuondolei kuwa mchezaji bora kuwahi kutokea. So endelea na chuki zako..kwaheri mkuu!
Sema mchezaji bora kuwahi kutokea Barcelona sio duniani
Dunia inamtambua king mmoja wa soka tu ambaye ni PELE
 
Uyu Pele ni king wa Santos sio Dunia.
King wa dunia kwa sababu 1 tu ndiye mchezaji pekee kutwaa kombe la dunia mara tatu kwa msaada wake mkubwa kwenye team haijawahi kutokea mpaka leo
Huyo messi wako kombe la bara la America kusini tu limemshinda huo ufalme ataupatia wapi
Na bado atastaafu kwa sifa za Barcelona tu bora hata mwenzie Cr. Ronaldo
 
Inamaana waliompa uking ni wajinga mpaka duniani kote wamemkubali na kumpa uking huyu mfalme unafikiri mchezo!! Chuki zako zitakupeleka pabaya mkuu! Jirekebishe wanakucheka humu..
 
Labda haujui maana ya king na hao waliompa
King ni mtawala kotekote katika soka
 
Back
Top Bottom