Neymar ni nyota atakayeibuka kuwa mchezaji bora wa Kombe la Dunia huko Urusi

Uyo Neymar hawezi Kuwaiti mchezaji bora make anapenda kucheza na mashabik badala ya kucheza mpira, we sema unashabikia brzl

Huyu ni shabiki wa brazil, na ndiyo maana wote anaowasifia ni wabrazil πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimefuatilia comment zake nimecheka sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Majuzi mechi na costa Rica kijana mweusi Marcus Rashford kacheza what u can call "a world class performance" namuona akiibuka mchezaji bora
 
Majuzi mechi na costa Rica kijana mweusi Marcus Rashford kacheza what u can call "a world class performance" namuona akiibuka mchezaji bora
Hahahaha nawish hii ndoto iwe ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…