BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Uyo Neymar hawezi Kuwaiti mchezaji bora make anapenda kucheza na mashabik badala ya kucheza mpira, we sema unashabikia brzl
Huyu ni shabiki wa brazil, na ndiyo maana wote anaowasifia ni wabrazil 😀😀😀 nimefuatilia comment zake nimecheka sana 😀😀😀