Neymar ni nyota atakayeibuka kuwa mchezaji bora wa Kombe la Dunia huko Urusi

Neymar ni nyota atakayeibuka kuwa mchezaji bora wa Kombe la Dunia huko Urusi

Mtoto wa beseni/mvaa miheleni huwezi sema atakuwa bora wakati kuna Baba yake huko Urussi,KING MESSI na wengine wengi tu kama cr7,mbappe, iniesta, de bruyn.. Messi aheshimiwe bana.
 
Neymar anacheza utadhani anacheza mashindano ya Umiseta
 
Back
Top Bottom