Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaa ..Wenzetu wanaakili sana ktk biashara... Neyma ile pesa ya usajili kila mtu alishangaa lkn imekuwa kawaida..Sitashangaa Perezi kuvunja bank kwa Neyma kwenda RM ....Embu waelezee mkuu wanafikiri utani utani tu kutumia matrilioni ya pesa kununua wachezaji, pia club status inapanda maradufu
Ina maana real madrid ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania?Ripoti zinasema kuwa kilakitu kinakwenda sawa ila Madrid italazimika kutoa dau la paundi milioni 357( Trilioni 1 na bilioni 95 za kitanzania) ikiwa ni pamoja na ada ya uhamisho kama watahitaji kuishawishi PSG kumuachia.
Majungu ndio tunayaweza watanzania, kwa hiyo wewe ndio unaendana na hiyo thamani?Neymar anapambwa tu, haendani na thamani ya hiyo pesa.
Huu ujumbe uwafikie mashabiki wote wa aseno!If you want to get trophies lazima uwe na matumizi makubwa ya pesa
Bora wabaki kimya, Perez akiona mjadala kwamba hawez kumnunua ndo watashangaa wenyewe jamaa anatua na private jet jiji la madridSanaa ..Wenzetu wanaakili sana ktk biashara... Neyma ile pesa ya usajili kila mtu alishangaa lkn imekuwa kawaida..Sitashangaa Perezi kuvunja bank kwa Neyma kwenda RM ....
Hahaha umenichekesha mpaka nimepaliwa 'eti unaweza anza tizi haraka'. Kumbe pesa ina nguvu mkuu hata wewe unaweza kuwa mchezaji mkali ghafla hahaha!Haya mapounds ukiyaleta kwa hii pesa yetu ya madaf uñaweza anza tiz haraka sana
Unauliza tena ...wanaweza ku take over bajeti kadhaa za hapa kwenuIna maana real madrid ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania?
Hawawezi kumusajiri messi hao matapeliMwaka 2000 ulikuwa ni kwa mara ya kwanza washabiki tunashuhudia uhamisho wa ajabu, chini ya Pereze, FIGO anatoka Barcelona kwenda Madrid.
Toka pale, naamini Madrid hawashindwi kumnunua au kumhamisha mchezaji yeyote.
![]()
Hawawezi kumusajiri messi hao matapeli
Hatumtaki messi...kashachokaHawawezi kumusajiri messi hao matapeli
Waambie pesa nyingi kwetu tuSanaa ..Wenzetu wanaakili sana ktk biashara... Neyma ile pesa ya usajili kila mtu alishangaa lkn imekuwa kawaida..Sitashangaa Perezi kuvunja bank kwa Neyma kwenda RM ....
Umri mkuu
"Messi japo Messi naye utamu wake unaelekea ukingoni"...kivipi???
Hatumtaki messi...kashachoka
Umri mkuu
Wana Morocco Fc mpo? King Messi anakiamsha vibaya sana