Neymar sasa ni Neymoney, paundi milioni 357( Trilioni 1 na Bilioni 95) kumpeleka Madrid

Ripoti zinasema kuwa kilakitu kinakwenda sawa ila Madrid italazimika kutoa dau la paundi milioni 357( Trilioni 1 na bilioni 95 za kitanzania) ikiwa ni pamoja na ada ya uhamisho kama watahitaji kuishawishi PSG kumuachia.
Ina maana real madrid ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania?
 
Reactions: Osu
Sanaa ..Wenzetu wanaakili sana ktk biashara... Neyma ile pesa ya usajili kila mtu alishangaa lkn imekuwa kawaida..Sitashangaa Perezi kuvunja bank kwa Neyma kwenda RM ....
Bora wabaki kimya, Perez akiona mjadala kwamba hawez kumnunua ndo watashangaa wenyewe jamaa anatua na private jet jiji la madrid
 
Haya mapounds ukiyaleta kwa hii pesa yetu ya madaf uΓ±aweza anza tiz haraka sana
Hahaha umenichekesha mpaka nimepaliwa 'eti unaweza anza tizi haraka'. Kumbe pesa ina nguvu mkuu hata wewe unaweza kuwa mchezaji mkali ghafla hahaha!
 
Sanaa ..Wenzetu wanaakili sana ktk biashara... Neyma ile pesa ya usajili kila mtu alishangaa lkn imekuwa kawaida..Sitashangaa Perezi kuvunja bank kwa Neyma kwenda RM ....
Waambie pesa nyingi kwetu tu
Huko sio kitu wanaweza na return yake wanaiona
Hela ya kumtoa Barca isharudi na faida juu
Wakitaka kujua pesa nyingi jiulize Dstv wanatoza pesa ndogo?
Kwa nini tusiwe tunapata fta
 
Hatumtaki messi...kashachoka

Madrid fans bwana Eti hatumtaki πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€....perez anatamani sana sana sana kumchukua Mfalme huyu, except uwezo huo hana,,,, dau la timu nyingine kuweza kumsajili kiumbe huyu/Mfalme Messi limetajwa kuwa ni pauni milioni 626,,,, Kiasi kinachohitajika kuvunja mkataba wake ni euro milioni 700 uwezo huo anao???? na madrid sio hadhi yake kubwa ukilinganisha na Barca....mtu anacheza the big club in the world atakie nini kuondoka!! Kitu gani amekosa pale mpaka aondoke!!!! Sasa kwa taarifa yako from now ballon d'0r 3 or 4 zinamnyemelea mfalme huyu...mark my words.
 
Reactions: PNC
Wana Morocco Fc mpo? King Messi anakiamsha vibaya sana


Kwa sasa wamefulia kabisa.wamegeukia kumnadi Sharo Neema sio Ronaldo tena πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Eti huyu ndiye anafukuzia ballon d'Or kipindi cha baba yaoπŸ˜› πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

watasubiri sana. Kwa sasa watulize munkar astaafu soka nao wapiganie kuipata.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…