Neymar sasa ni Neymoney, paundi milioni 357( Trilioni 1 na Bilioni 95) kumpeleka Madrid

Umenishangaza ..unauliza uwezo wa kipesa wa Florentino Perez ..unafikiri hio hela ni kubwa sana kwake..kwani kwa neymar kutoka barca kwenda psg si mlitoa mapovu kwamba hamna wa kumtoa neymar barca mana hamna mwenye pesa...leo yuko wapi?!
Messi kinachomsaidia kumuweka pale yeye kutoka damuni ni barca yeye pesa sio priority yake, anadhani ufalme wake ataujengea pale akishindana na Ronaldo kwaio unapotoa hoja usitoe kishabiki bali toa kama mtu mwenye ufahamu kuhusu mpira.
 
Hoja za kishabiki

Wabongo wengi ni washabiki hawajui mpira ...
 
Mnapotoa hoja za kishabiki mkumbuke Lionel Messi hayuko peke yake

 
Hiyo pesa ni ndefu mno,, in-short haiendani kabisa na uwezo alionao. Hata ile 200 hakustahili. Sema tu waarabu wanapesa za kumwaga.
kaka watu wanaangalia mauzo sokoni,huyo jamaa ni brand inayouza, perez hakurupuki, kumbuka beckam alirudisha pesa hata kabla kuanza kucheza, cr 7 pia, kwa sasa ukiacha mes na cr neymar ndo brand inayouza sana
 
na kama hawajui, huo ulikuwa mpango madhubuti wa kumchua naymar, isingewezekana aje direct kutoka barca, ikumbukwe pia baba yake naymar ndo wakala wake na tayali alishaa meza moja na perezi, pia real haijasajiri galact kwa muda mrefu huku enzi za cr7 zikielekea ukingoni, na midenguo mingi ya cr7 mara naondoka imeshamkera perez. lakin pia naymar anaona njia ya haraka kufika ndoto za mesi na cr7 ni kucheza real na si psg, real ni team kubwa na yeye ndo anaenda kuwa mfalme pale
 
Kama ww unaamini hiyo pesa haiendan na uwezo wake hayo ni mawazo yako..

Mpira ni pesa hasa wa sasa...Tulishangaa Pogba...Cr7...Bale...Kotinyo...Neymoney.....Vijk beki wa liva...watakuja beki wengine kwa pesa nzito
Anadhani Simba na yanga wale...
 
"'Perez is prepared to back his potential new man in the market by offloading Ronaldo, Gareth Bale and Karim Benzema in order to sign Kane, Dybala and Neymar.'" kutoka source za spain(Marca) kama hawaamini juu ya maamuzi na uwezo wa perez basi hao ni mashabi wa juzi juzi wa EPL, ila kwa mshabiki harisi anajua perez ni mtu wa aina gani akiamua lake jambo. sasa hivi ana hasira sana na zidane maana akuwa akiweka kauzibe kukubali usajiri mpya, mwisho wa msimu anapigwa chini,huenda kocha wa taifa wa ujeruman akapewa mikoba.Joackim L.
 

Mkuu kazi sana kumuelewesha SHABIKI [emoji2][emoji2][emoji2]
 
kama hii dili itatiki, itachukua zaidi ya miongo miwili au zaidi kuja kuivunja hii record ya usajili duniani
 

Wana Morocco Fc mpo? King Messi anakiamsha vibaya sana

Messi ni wakuigwa. Hana mambo ya kijinga jinga. Ni kazi kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…