NEYO & Diamond UK Tour hii hapa

NEYO & Diamond UK Tour hii hapa

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Haters will say Neyo kanunuliwa au ameshachuja[emoji108] [emoji108] [emoji12] [emoji12]

1480529898532.png
 
mbona alikiba kaimba na neyo hamuongei tafuta unaitwa one stand
 
Tumebaki kufanya kick tu ili majina yawe hewani but tumeanza kusahau kufanya mziki uliobora ili ulingane na kick

Viva Diamond & Kiba but msibase saana kwenye Kick coz kwa level mliofikia kick yenu kubwa ni mziki mzuri [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] baada ya hiyo tour tunasubiri Tour ya Chris brown & Kiba[emoji6] [emoji6]
 
Hii si ilikuwa December nini kimetokea tena?!
 
Surpassing..............😎😎
 
Back
Top Bottom