Nezha: Legend of deification

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Kwanza kabisa nimefurahi sana hawa jamaa wamepiga mzinga๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Disney mjanja sana anataka yeye ndio abaki kua Tycoon wa kutengeneza na kusambaza filamu. Kila Kampuni ikijitokeza inatengeneza muvi akiona ni kali anainunua inakua Kampuni mwenza! Kachukua Lucas film (watengenezaji wa star wars movies)Pixar Animation, Marvel Studios (kama msambazaji), 20Century Fox.

Kwenye sakata lake la mwaka jana kati yake na Kampuni ya Sony juu ya muvi za Spiderman aliona sony anazingua akasema anataka anunue kampuni yote kabisa. Sony wakakaa chini kusort out term zao.

Kila muvi wanayotoa wanapiga hela mnoo, hata kama muvi mbaya ilimradi inatoka Disney motion picture basi inapiga hela. Hatimaye sasa wamepiga loss kwenye muvi ya Mulan. Kama unampango wa kuicheki nakushauri hata usiangakie hii muvi itakupotezea muda. Stori ya kawaida pia matukio na mapigano yaleyale wala hata sio mazuri japo kuna waigizaji wakali kama Don yen na Jet Li. Naona ndio maana hata nusu ya bajeti waliyotumia haijaridi, safi kabisa nao waonje machungu (roho ya kimaskini hii)

Kama ulitaka kuangalia muvi zenye mandhari ya kichina wala usisumbuke kuitazama hiyo Mulan japo imepewa promo sana. Jaribu kuangalia hizi muvi.



1.Nezha
Hii ni animation, lakini ni muvi nzuri sana sana na mapigano yake yanavuti. sema tu haijatoka hollywood ingekua imetoka disney ingefikisha mauzo ya Billion+ imefikisha 700M$ tu.

Muvi inahusu mtoto aitwae Nezha, stori inaanza Suprme lord (mungu wa kichina) anatenganisha roho yenye nguvu ya ubaya na wema. Roho ya wema ilitakiwa iende kwa mtoto wa kiongozi wa mjii fulani ili watumie kujilinda na ushetani. Roho ya ubaya mtoto ambaye angeipata basi angeishi kwa miaka mitatu tu baada ya miaka mitatu mungu angeshusha radi kubwa na kumuua.

Mambo yakavurugika sasa roho ya ubaya ikaenda kwa mtoto wa huyo kiongozi ambae alitakiwa awe mwema ile roho ya wema yenye nguvu kubwa zaidi wakala wa mashetani akaichukua akaipeleka kwa mtito wa mashetani (Dragons) waliokuwa wamefungwa na monyororo chini ya ardhi. Ilitakiwa huyo mtoto wa mashetani (jina lake Ao bing) atumie nguvu zake hizo kuwafungua baba zake/mashetani kutoka huko kuzimu.

Sasa ikawa vice versa yule dogo huko duniani (Nezha) akawa ni mtu wa vurugu hada mji mzima wakimuona wanakimbia anapiga mkono balaa. Kule kwa aobing baba zake wanamfunza awe mtenda mabaya lakini hawezi anapenda kutenda mema. Mwisho wa siku Nezha na Ao bing wanakutana zinachapwa ngumi hatari maana nezha anataka kuteketeza mji kwa kua wanamchukia ila Aobing anamziwia kwamba they are innocent.

At the end wanapatana wema unashinda ubaya, nezha anatakiwa apigwe na radi kama mungu alivyosema ila Aobing anamsadia kuziwia radi.

October 1 mwaka huu unatoka mwendelezo wake I'm so excited kuona kitakachoendelea maana kule kuzimu demons waliweza kukata monyororo

Lesson. Uovu unaondolewa kwa upendo sio kwa chuki dogo alikua anazidi kua mwovu kwakua walikua wanamchukia wanamuona ni demon.



2. Rise of the legend
Wong fei hong kijana yatima wa mtaani anaungana na mayatima wenzake kumpindua kiongozi wa kundi la kigaidi na biashara haramu aitwae Master lei (Samo Hong). Samo Hong akikaa nasfi ya ugaidi utamchukia maana mafia kweli. So fei anaenda kuomba kazi kwa master lei, Master lei anatoa agizo kwamba mtu atakemletea kichwa cha hasimu wake wa biashara basi atakua mwanae wa kuasili/adopted son.

Fei anashinda anafanywa kua moja ya watoto wa master lei kumbuka ameingia huko kwa mkakati maalumu. Mwisho wa siku wanshinda kumaliza kundi lote la master lei



3. Jin yi wei
Kacheza Don yen maarufu kama 14 blade
 
Mkuu hizi siwezi angalia mimi! Huko kuita animation ni kuitoa kwenye hadhi ya ukatuni lkn ni katuni!.. mi nataka muvi zenye watu.

Hizo muvi zenyewatu zina Vfx na CGI ambavyo ni vitu visivyo halisi sasa utofauti uko wapi unafurahia kuona mtu yupo angani huko wakati yupo kwenye green background. Hafu kunatofauti ya Cartoon, animation na anime.

Watu wanapiga billions of dollars kwa hicho unachodharau afu unajiona mjanja kuliko wao eti huangalii.. wakati hat Cinema huendi unasubiri ukaburn au kurusha libraly๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
UKIKUA UTAACHA...๐Ÿ˜‚
 
K
Kuruka kawaida ya wachina kama ilivyo bongo kuruka na ungo.
ok
huyu bwege anaitwa Zhang Jin, nahitaji list ya project zake (ambazo umeziangalia wewe na zikakuvutia)
ondoa IP MAN 3 na master z IP MAN
 
Nawewe ukiacha kudharau animtion utakua!! ngoja midamida nicheki Despicable me
Leo Kuna mtu kumwaga damu hapa..๐Ÿ˜…

We angalia hizo muvi nilizoorodhesha ndo utaelewa hata maana ya muvi acha ubishi...
 
ok
huyu bwege anaitwa Zhang Jin, nahitaji list ya project zake (ambazo umeziangalia wewe na zikakuvutia)
ondoa IP MAN 3 na master z IP MAN
Kwa muvi nilizoona zake zingine ni Crouching tiger na Spl. Hebu jaribu kuanza na hiyo Shao po lang hope utaipenda.
Kuna muvi fulani naitafuta niliiona 2017 ya jamaa kutaka bush ameiva na kuhg fu kavaa mabuti ya chuma kaja mjini kwa rafiki yake akapewa kazi ya kukinda mdada fulani.
Ina mkono hatari ila jimesahau jina.. sijui inaitwa bodyguard au vipi.
 
Leo Kuna mtu kumwaga damu hapa..๐Ÿ˜…

We angalia hizo muvi nilizoorodhesha ndo utaelewa hata maana ya muvi acha ubishi...
Kitu kishaitwa Sci-Fi movie hafu ww ndio wajidai eti ni muvi. Pole sana. Muvi zenye uhalisia ni futuhi tu na bongo muvi kwa mbaliii
 
ahsante sana
 
Kitu kishaitwa Sci-Fi movie hafu ww ndio wajidai eti ni muvi. Pole sana. Muvi zenye uhalisia ni futuhi tu na bongo muvi kwa mbaliii
Dah! Sawa tufanye umeshinda leo unamichambo utafikiri umekula pilipili hoho na uji..๐Ÿ˜‚

Ngoja nikutoe tongotongo mfano hiyo the Martian ukiiangalia ni sci fiction lkn ni kama wameakti ktk uhalisia hakuna ma dude sijui kimetokea kibwengo gani.. hiyo contact utajifunza na kuiangalia lugha ktk jicho latofauti!.. katazame tusibishane sana sisi ni waangaliaji tu.. hicho ni kama chakula wewe unapenda kilichotiwa madikodiko sana mimi Hilo hapana Bora wanidanganye walau nusu lkn nusu nyengine iwe afadhari..
 
Inaitwa bodyguard
 
Daah unanikatisha tamaa nilitaka nidownload mulan kumbe hamna kitu
Download tu mkuu kama kaiweka Rise of the legend kama movie nzuri wakati ni mbaya utakuwaje na uhakika kama Mulan ni mbaya!

Halafu sio kila kilichopondwa au kupendwa na wengi kinaweza kuvutia kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ