Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ndo wale wanashindia mabaibui na vijora..full kujistiriAliificha vipi iyo mimba. Mawazo yangu yamestack hapo kwanza!!! Nimeshindwa kabisa kupata picha. Shangazi alishindwa kabisa kuona kama mtoto kabadilika, hata kwenye utendaji kazi, maumbile!!! Duh, kuna mambo
Vipi afya ya mtotoWa leo ni hivyo hivyo Yani kaambiwa akalete mkojo ndo akamaliza kila kitu mgonjwa mwenzie anaenda jisaidia anasikia mtu anajikakamua akajua anakataa gogo akapuzaa lakini akambiwa Leo sio tarehe yake ya kriniki aende nyumbani anapita palepale anasikia suti ya mtoto chooni anaita mwezie amsaidie akakataa kumbe ndo mwenyewe ndo ikabidi akawaite manesi watu wanaangaika kutafuta mwenye mtoto watu Wana Lani kumbe yupo na anawasikia ata alie nae ana Lani pia yeye anawasikia tu na yupo kimya