Hollyreath Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 126 Reaction score 12 Jun 25, 2014 #1 habari wapendwa. tafadhali anaemfahamu mwalimu yeyote aliopo nganza secondary naomba anijulishe tafadhali asante
habari wapendwa. tafadhali anaemfahamu mwalimu yeyote aliopo nganza secondary naomba anijulishe tafadhali asante
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Jun 25, 2014 #2 Unamaanisha unataka contacts zake au just anaemfahamu..Yes nawafahamu baadhi walinifundisha tution kama Masama,Dennis na Ramadhan
Unamaanisha unataka contacts zake au just anaemfahamu..Yes nawafahamu baadhi walinifundisha tution kama Masama,Dennis na Ramadhan
simbamzeewamwakidila JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 1,447 Reaction score 378 Jun 25, 2014 #3 Be specific hauelewi unachokitaka
Hollyreath Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 126 Reaction score 12 Jun 26, 2014 Thread starter #4 Ze Heby said: Unamaanisha unataka contacts zake au just anaemfahamu..Yes nawafahamu baadhi walinifundisha tution kama Masama,Dennis na Ramadhan Click to expand... nahitaji contact zao tafadhali. kama unazo naomba unisaidie
Ze Heby said: Unamaanisha unataka contacts zake au just anaemfahamu..Yes nawafahamu baadhi walinifundisha tution kama Masama,Dennis na Ramadhan Click to expand... nahitaji contact zao tafadhali. kama unazo naomba unisaidie
Hollyreath Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 126 Reaction score 12 Jun 26, 2014 Thread starter #5 simbamzeewamwakidila said: Be specific hauelewi unachokitaka Click to expand... mawasiliano yao tafadhali.
simbamzeewamwakidila said: Be specific hauelewi unachokitaka Click to expand... mawasiliano yao tafadhali.
A Anophrine D.S. Member Joined Jun 24, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Jul 7, 2014 #6 Habari wapendwa............Hata mimi ninahitaji japo ''contacts'' tu hata ya mwl sababu kuna mwanafunzi mwenzangu amepangiwa huko(nganza) ,plz help!
Habari wapendwa............Hata mimi ninahitaji japo ''contacts'' tu hata ya mwl sababu kuna mwanafunzi mwenzangu amepangiwa huko(nganza) ,plz help!