Nganza secondary

Nganza secondary

Hollyreath

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
126
Reaction score
12
habari wapendwa. tafadhali anaemfahamu mwalimu yeyote aliopo nganza secondary naomba anijulishe tafadhali

asante
 
Unamaanisha unataka contacts zake au just anaemfahamu..Yes nawafahamu baadhi walinifundisha tution kama Masama,Dennis na Ramadhan
 
Unamaanisha unataka contacts zake au just anaemfahamu..Yes nawafahamu baadhi walinifundisha tution kama Masama,Dennis na Ramadhan

nahitaji contact zao tafadhali. kama unazo naomba unisaidie
 
Habari wapendwa............Hata mimi ninahitaji japo ''contacts'' tu hata ya mwl sababu kuna mwanafunzi mwenzangu amepangiwa huko(nganza) ,plz help!
 
Back
Top Bottom