Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 68
- 106
Ni mfumo wa ulinzi na usalama wa tanzania, ulioanzishwa kwa lengo la kuwapatia raia uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, mazingira hatarishi na ajali. Ni mfumo maalum kwa ajili ya raia na majeshi ya ulinzi na usalama, sera ya ulinzi na watu binafsi wa jinsia zote.