Mimi yote ni bure mi naona sisi kwenye leage yetu tuanzishe least played prayers decide the winner.
Yaani timu zikitoka draw in 90 minites ziongozwe dk 30 kama zamani lakini wale wachezaji waliokuwa benchi waingie kwanza na wajaziwe mapengo na walio toka.
Sent using Jamii Forums mobile app