Ngao ya Hisani, Uingereza: Arsenal FC na Chelsea FC kujaribu mfumo mpya wa upigaji penati

Mimi yote ni bure mi naona sisi kwenye leage yetu tuanzishe least played prayers decide the winner.
Yaani timu zikitoka draw in 90 minites ziongozwe dk 30 kama zamani lakini wale wachezaji waliokuwa benchi waingie kwanza na wajaziwe mapengo na walio toka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaah aaaaah,,mkuu upo sahihi kabisa tena ungeliweka moyoni ungekutana nalo njiani linakuja jinsi lilivyo,,....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaahha
 
Huo mfumo utajaribiwa mechi nyngne kesho Kiboga Fc tunamlaza mapemaaaaa
Lacazetteeeeeeeeee.
 
Mbwa hawa wanaharbu
Soccer kila kukicha

FIFA cjui wako wap

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…