Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

Kiingilio ni shilingi ngapi hii game?upatikanaji wa tiketi ukoje?
 
Kiingilio VIP B&C shilingi 10,000 na mzunguko shilingi 5,000 tiketi rahisi tu, zinapatikana Uwanja wa Taifa
Kiingilio ni shilingi ngapi hii game?upatikanaji wa tiketi ukoje?
 
Nikiangalia Avatar kuna Azam, wewe ni shabiki wao..Lakini utatusamehe kwa maana tumekusudia kubeba tena hii Ngao ya Jamii..SimbaNguvuMoja
Gemu ya leo tamu sana.. viva azam fc @azamfc
 
Ama kweli this is next level. Wakati sisi tumeanza kazi wenzetu bado wanatest mitambo timu inaonekana ni kama timu ya kata imeokoteza wachezaji kila kijiji
Jamaa wa bodaboda morogoro walifanikiwa kuipenya ngome dhaifu na kuudhihirisha udhaifu wake wakatupia kitu kambani. Sina uhakika kama ile timu wapo wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…