Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

Wachezaji wakipasha misuli kabla ya mchezo kuanza..SimbaNguvuMoja
FB_IMG_1566056423513.jpeg
 
Wazee was kujaza uwanja naona umetapika na watu kibao bado wapo nje.😀😀😀
 
Update:

05' Simba SC 0-0 Azam FC
 
20' Simba SC 1-1 Azam FC

Wafungaji Shiboub dakika ya 16..Chilunda dakika ya 13
 
22' Goooooooooooooooooooaaal..Shiboub anaipatia Simba SC bao la pili

Simba SC 2-1 Azam FC
 
Back
Top Bottom