Ngao Ya Jamii, 2019: Simba SC yaichakaza Azam FC goli 4-2 kuchukua Ngao hiyo

45+2' Kuelekea kuwa mapumziko

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele ya mabao mawili kwa moja

Simba SC 2-1 Azam FC
 
53' kipindi cha pili Simba SC wapo mbele ya mabao mawili kwa moja dhidi ya Azam FC

Simba SC 2-1 Azam FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…