Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imetengenezwa kwa makinikia gani? zaid ya gypsum powder!!?Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10;
View attachment 578049
Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya
Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10;
View attachment 578049
Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya
Imetengenezwa kwa makinikia gani? zaid ya gypsum powder!!?
Niliwahi fikiria hili jambo...wangeitengeneza kwa mbao ya mninga kidogo na kurembwa kwa namna ya pekee hata leo wangeweza kujustify hiyo ten Mil. Na hii nahisi imetengenezwa kwa jacarandaBora hata ingekuwa MNINGA!
Mahadhi alipaisha penati baada ya kuona ngao imekosewa. Kama imerekebishwa basi mechi irudiwe.ILE NYINGINE WAWAPE YANGA; IMEKOSEWA KM YANGA WALIVYOKOSEA PENATI YA MWISHO