NGAO ya Jamii imetengenezwa upya kwa milioni 10 itakabidhiwa upya ; Habari za ndani

NGAO ya Jamii imetengenezwa upya kwa milioni 10 itakabidhiwa upya ; Habari za ndani

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10;

upload_2017-8-30_12-37-7.jpeg

Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya
 
Mwanamuziki wa Kenya aliita nchi yake kuwa ya 'kitu kidogo' lakini hii yetu sasa sijui tuiiteje, 'nchi ya wajinga'!?
 
Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10;

View attachment 578049
Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya
Imetengenezwa kwa makinikia gani? zaid ya gypsum powder!!?
 
Hii ndo Ngao mpya iliyotengenezwa baada ya kwa kukosea ; na mpaka sasa hakuna taarifa za adhamu kwa waliokosea ; Imegharimu milioni 10;

View attachment 578049
Afisa habari Alfer akiionyesha baada ya kutengenezwa upya

Hata wewe umekosea baadhi ya maneno kwenye hii post. Acha tusubirie adhabu yako.
 
Bora hata ingekuwa MNINGA!
Niliwahi fikiria hili jambo...wangeitengeneza kwa mbao ya mninga kidogo na kurembwa kwa namna ya pekee hata leo wangeweza kujustify hiyo ten Mil. Na hii nahisi imetengenezwa kwa jacaranda
 
Iyo mbao imetumia million kumi

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Wapigaji katika ubora wao!!
Labda milioni kumi ya Zimbabwe
 
Back
Top Bottom