Ndiyo maana yanadharaulika! Kimshahara chenyewe cha maji ya Jambo, kinanyofolewa tena!Hivi hii kada ya ualimu ina matatizo gani?
Na hao waalimu ndio waathirika wakubwa wa kikokotoo cha pension zao; nadhani wana kichaa au wamelogwa na mama S.Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.
"Kila Mwalimu Mkuu atatoa Shilingi 10,000. Asilimia 60 ya makusanyo itachangia Fomu ya Urais ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na Asilimia 40 itachangia fomu ya Ubunge ya Ndaisaba George Ruhoro katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025" - Mwalimu Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.
"Walimu Wilaya ya Ngara walikuwa hawajapandishwa madaraja kwa kipindi kirefu, lakini kupitia Serikali sikivu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan walimu wameweza kupandishwa madaraja, hivyo wanamshukuru sana Rais Samia" - Mwal. Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.
Wakuu hao wa Shule wakiongozwa na Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ngara Mwalimu Allen Deogratias Marton wameahidi kwa kauli Moja kuwa mabalozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Katika maeneo yote watakayofika ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Walimu hao pia wametuma Salamu kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kumuomba awarejeshee Jembe lao Ndaisaba Ruhoro ambaye amekuwa kimbilio la walimu wa Ngara katika kupigania Masalahi yao hususani suala la Kikokotoo.
Akiwahutubia Walimu Wakuu hao kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Imani kubwa waliyonayo kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Lakini pia, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Upendo Mkubwa waliomuonyesha na akaahidi kuwapigania stahiki zao kadri ya uwezo wake wote.
Pamoja na hayo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amegawa Mitungi ya gesi kwa Shule zote za Serikali Katika ngazi ya Msingi na Sekondari.
View attachment 2866513
#SamiaTena2025
#NgaranaNdaisabaDamDam
Tatizo siyo Kada ya Ualimu, kilichopo hapa ni Ukada wa CCM, ndani ya taaluma hii wapo Walimu ambao ni Makada wa CCM ambao hujiita "Walimu Wazalendo" katika hilo akitokea mmoja mwenye ushawishi kutoa wazo hilo hakuna atakayepinga.Hivi hii kada ya ualimu ina matatizo gani?
Hiki ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingineWalimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.
"Kila Mwalimu Mkuu atatoa Shilingi 10,000. Asilimia 60 ya makusanyo itachangia Fomu ya Urais ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na Asilimia 40 itachangia fomu ya Ubunge ya Ndaisaba George Ruhoro katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025" - Mwalimu Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.
"Walimu Wilaya ya Ngara walikuwa hawajapandishwa madaraja kwa kipindi kirefu, lakini kupitia Serikali sikivu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan walimu wameweza kupandishwa madaraja, hivyo wanamshukuru sana Rais Samia" - Mwal. Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.
Wakuu hao wa Shule wakiongozwa na Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ngara Mwalimu Allen Deogratias Marton wameahidi kwa kauli Moja kuwa mabalozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Katika maeneo yote watakayofika ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Walimu hao pia wametuma Salamu kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kumuomba awarejeshee Jembe lao Ndaisaba Ruhoro ambaye amekuwa kimbilio la walimu wa Ngara katika kupigania Masalahi yao hususani suala la Kikokotoo.
Akiwahutubia Walimu Wakuu hao kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Imani kubwa waliyonayo kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Lakini pia, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Upendo Mkubwa waliomuonyesha na akaahidi kuwapigania stahiki zao kadri ya uwezo wake wote.
Pamoja na hayo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amegawa Mitungi ya gesi kwa Shule zote za Serikali Katika ngazi ya Msingi na Sekondari.
View attachment 2866513
#SamiaTena2025
#NgaranaNdaisabaDamDam
Ndiyo maana CWT imejaa watu wajinga haswaTatizo siyo Kada ya Ualimu, kilichopo hapa ni Ukada wa CCM, ndani ya taaluma hii wapo Walimu ambao ni Makada wa CCM ambao hujiita "Walimu Wazalendo" katika hilo akitokea mmoja mwenye ushawishi kutoa wazo hilo hakuna atakayepinga.
Umefunga uziNaona wengi mmeanika upumbavu wenu kuwashambulia walimu wote pasipo kujua mchezo ulioko hapo. Hakuna mwalimu wa kawaida wa kufanya ujinga huo. Walimu waliofanya ujinga huo ni walimu wakuu ambao wao ni miongoni mwa watu wanaoiba pesa za serikali.
Wanafurahi sana kwa jinsi utawala wa sasa hivi ulivyo maana pesa yote ya Elimu bila Malipo inayotoka serikali kuu inaliwa na hao hao ikiwemo wakuu wa shule, maafisa elimu kata na maafisa Elimu na baadhi ya walimu wachache walioko karibu na wakuu wa shule. Zaidi ni kwamba hakuna tena ufuatiliaji asilimia kubwa wa pesa inayotoka serikalini kuja shule inaliwa na hao wanajifanya kuwa wanampenda Samia.
Hakuna mkuu wa shule mjinga wa kuacha kuchangia elfu kumi wakati kwa mwezi nje ya mshahara anao uhakika wa kupiga hata milioni. Hata ungekuwa ni wewe usingeshindwa kutoa elfu kumi wakati unapata takribani milioni moja nje ya mshahara. Kumbuka hakuna mwalimu wa kawaida anaye ikubali CWT hapa Tanzania. Ukihukumu walimu wote unakuwa unakosea.
He Wins now….Mpwayungu Village hakukosea .
Hawa ndio tunategemea wawaondoe au wawapunguzie ujinga watoto.Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.
"Kila Mwalimu Mkuu atatoa Shilingi 10,000. Asilimia 60 ya makusanyo itachangia Fomu ya Urais ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na Asilimia 40 itachangia fomu ya Ubunge ya Ndaisaba George Ruhoro katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025" - Mwalimu Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.
"Walimu Wilaya ya Ngara walikuwa hawajapandishwa madaraja kwa kipindi kirefu, lakini kupitia Serikali sikivu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan walimu wameweza kupandishwa madaraja, hivyo wanamshukuru sana Rais Samia" - Mwal. Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.
Wakuu hao wa Shule wakiongozwa na Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ngara Mwalimu Allen Deogratias Marton wameahidi kwa kauli Moja kuwa mabalozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Katika maeneo yote watakayofika ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Walimu hao pia wametuma Salamu kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kumuomba awarejeshee Jembe lao Ndaisaba Ruhoro ambaye amekuwa kimbilio la walimu wa Ngara katika kupigania Masalahi yao hususani suala la Kikokotoo.
Akiwahutubia Walimu Wakuu hao kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Imani kubwa waliyonayo kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Lakini pia, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Upendo Mkubwa waliomuonyesha na akaahidi kuwapigania stahiki zao kadri ya uwezo wake wote.
Pamoja na hayo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amegawa Mitungi ya gesi kwa Shule zote za Serikali Katika ngazi ya Msingi na Sekondari.
View attachment 2866513
#SamiaTena2025
#NgaranaNdaisabaDamDam
AiseeeeWalimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.