Pre GE2025 Ngara: Walimu Wakuu wa Shule za Wilaya ya Ngara, Wachangishana Fedha kwaajili ya Fomu ya Urais ya Rais Samia 2025 na kwaajili ya Mbunge Ndaisaba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao wamelazimishwa kutoa kwenye mafungu wanayogawiwa kila mwezi. Siasa chafu za mbunge wa ngara
 
Mimi kwa mawazo yangu naona walimu kama hawana upeo wa kufikiria,kwan walopandishwa madaraja ni wao tu
 
Naona wengi mmeanika upumbavu wenu kuwashambulia walimu wote pasipo kujua mchezo ulioko hapo. Hakuna mwalimu wa kawaida wa kufanya ujinga huo. Walimu waliofanya ujinga huo ni walimu wakuu ambao wao ni miongoni mwa watu wanaoiba pesa za serikali.

Wanafurahi sana kwa jinsi utawala wa sasa hivi ulivyo maana pesa yote ya Elimu bila Malipo inayotoka serikali kuu inaliwa na hao hao ikiwemo wakuu wa shule, maafisa elimu kata na maafisa Elimu na baadhi ya walimu wachache walioko karibu na wakuu wa shule. Zaidi ni kwamba hakuna tena ufuatiliaji asilimia kubwa wa pesa inayotoka serikalini kuja shule inaliwa na hao wanajifanya kuwa wanampenda Samia.

Hakuna mkuu wa shule mjinga wa kuacha kuchangia elfu kumi wakati kwa mwezi nje ya mshahara anao uhakika wa kupiga hata milioni. Hata ungekuwa ni wewe usingeshindwa kutoa elfu kumi wakati unapata takribani milioni moja nje ya mshahara. Kumbuka hakuna mwalimu wa kawaida anaye ikubali CWT hapa Tanzania. Ukihukumu walimu wote unakuwa unakosea.
 
Hapo viongozi CWT lazima walishupalie hili maana wanakwenda kupiga pesa ndefuu.
Maskini hii kada sijui ni vile wengi wapo vijijini ndanindani ndo maana hata hawawezi goma.
Mpaka uchaguzi unaisha watu watakuwa wamepiga sana pesa......2025 ni uchaguzi utakaokuwa na pesa sana wazee wa kuchomeka mirija kazi kwenu
 
Umaskini wa akili mbaya sana.
Ndio maana tunasema kada ya walimu imejaa utahira.
Mkuu wa shule analipwa posho around 250k per month tena inaingia kwa kusuasua. Unamchangia mtu pesa ya form ambaye analipwa mamilioni na akistaafu within 5 yrs of his /her duty analipwa billion kwa Rais na mbunge around milioni 300.
Walimu wakuu nyie ni viongozi na mnastahili stahikinza viongozi, piganieni haki zenu, wenzenu mameneja TARURA, TPA, TRA, TEMESA, SIDO n.k wanalipwa mamilioni na gari nzuri ya kuwapeleka kazini na kuwarudisha home. Nyie mnaendeshwa na wajinga mnachangia tajiri pesa ya form. Mshahara wa MWALIMU wa daraja E ni mdogo kuliko mshahara wa mlinzi wa Bandari anayeanza kazi leo. Huyo mlinzi ana posho nyingi.
Dereva wa TRA anamzidi mshahara mwalimu.
Fundi Tanesco anamzidi mshahara MWALIMU mwenye degree.
Walimu ni wapumbavu
 
Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.

"Kila Mwalimu Mkuu atatoa Shilingi 10,000. Asilimia 60 ya makusanyo itachangia Fomu ya Urais ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na Asilimia 40 itachangia fomu ya Ubunge ya Ndaisaba George Ruhoro katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025" - Mwalimu Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.

"Walimu Wilaya ya Ngara walikuwa hawajapandishwa madaraja kwa kipindi kirefu, lakini kupitia Serikali sikivu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan walimu wameweza kupandishwa madaraja, hivyo wanamshukuru sana Rais Samia" - Mwal. Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.

Wakuu hao wa Shule wakiongozwa na Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ngara Mwalimu Allen Deogratias Marton wameahidi kwa kauli Moja kuwa mabalozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Katika maeneo yote watakayofika ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Walimu hao pia wametuma Salamu kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kumuomba awarejeshee Jembe lao Ndaisaba Ruhoro ambaye amekuwa kimbilio la walimu wa Ngara katika kupigania Masalahi yao hususani suala la Kikokotoo.

Akiwahutubia Walimu Wakuu hao kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Imani kubwa waliyonayo kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Lakini pia, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Upendo Mkubwa waliomuonyesha na akaahidi kuwapigania stahiki zao kadri ya uwezo wake wote.

Pamoja na hayo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amegawa Mitungi ya gesi kwa Shule zote za Serikali Katika ngazi ya Msingi na Sekondari.

View attachment 2866513
#SamiaTena2025
#NgaranaNdaisabaDamDam
Na hao waalimu ndio waathirika wakubwa wa kikokotoo cha pension zao; nadhani wana kichaa au wamelogwa na mama S.
 
Hiki ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingine
 
Naona wengi mmeanika upumbavu wenu kuwashambulia walimu wote pasipo kujua mchezo ulioko hapo. Hakuna mwalimu wa kawaida wa kufanya ujinga huo. Walimu waliofanya ujinga huo ni walimu wakuu ambao wao ni miongoni mwa watu wanaoiba pesa za serikali.

Wanafurahi sana kwa jinsi utawala wa sasa hivi ulivyo maana pesa yote ya Elimu bila Malipo inayotoka serikali kuu inaliwa na hao hao ikiwemo wakuu wa shule, maafisa elimu kata na maafisa Elimu na baadhi ya walimu wachache walioko karibu na wakuu wa shule. Zaidi ni kwamba hakuna tena ufuatiliaji asilimia kubwa wa pesa inayotoka serikalini kuja shule inaliwa na hao wanajifanya kuwa wanampenda Samia.

Hakuna mkuu wa shule mjinga wa kuacha kuchangia elfu kumi wakati kwa mwezi nje ya mshahara anao uhakika wa kupiga hata milioni. Hata ungekuwa ni wewe usingeshindwa kutoa elfu kumi wakati unapata takribani milioni moja nje ya mshahara. Kumbuka hakuna mwalimu wa kawaida anaye ikubali CWT hapa Tanzania. Ukihukumu walimu wote unakuwa unakosea.
Umefunga uzi
 
Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.

"Kila Mwalimu Mkuu atatoa Shilingi 10,000. Asilimia 60 ya makusanyo itachangia Fomu ya Urais ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na Asilimia 40 itachangia fomu ya Ubunge ya Ndaisaba George Ruhoro katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025" - Mwalimu Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.

"Walimu Wilaya ya Ngara walikuwa hawajapandishwa madaraja kwa kipindi kirefu, lakini kupitia Serikali sikivu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan walimu wameweza kupandishwa madaraja, hivyo wanamshukuru sana Rais Samia" - Mwal. Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.

Wakuu hao wa Shule wakiongozwa na Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ngara Mwalimu Allen Deogratias Marton wameahidi kwa kauli Moja kuwa mabalozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Katika maeneo yote watakayofika ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Walimu hao pia wametuma Salamu kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kumuomba awarejeshee Jembe lao Ndaisaba Ruhoro ambaye amekuwa kimbilio la walimu wa Ngara katika kupigania Masalahi yao hususani suala la Kikokotoo.

Akiwahutubia Walimu Wakuu hao kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Imani kubwa waliyonayo kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Lakini pia, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Upendo Mkubwa waliomuonyesha na akaahidi kuwapigania stahiki zao kadri ya uwezo wake wote.

Pamoja na hayo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amegawa Mitungi ya gesi kwa Shule zote za Serikali Katika ngazi ya Msingi na Sekondari.

View attachment 2866513
#SamiaTena2025
#NgaranaNdaisabaDamDam
Hawa ndio tunategemea wawaondoe au wawapunguzie ujinga watoto.

Tuna safari ndefu sana hii nchi.
 
Nasikitika kwa mwandishi kuacha taarifa yake bila maswali haya:
1. Mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbj uliojengwa nyjmbani kwa mbunge ulikuwa na washiriki/ walimu wakuu wangapi?

2. Ulifanyika lini? Na Jumla ya Pesa iliyokusanywà ilikuwa kiasi gani, huku mbunge akipewa kiasi gani na gedha za gharama za fomu za urais zilipatikana kiasi gani na ziko wapi?
 
Wakuu waliitwa kugaiwa mitungi ya ges wawe wanapika Chai shuleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na Utendaji Kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kuahidi kuwachukulia Form za Kugombea nafasi zao.

"Kila Mwalimu Mkuu atatoa Shilingi 10,000. Asilimia 60 ya makusanyo itachangia Fomu ya Urais ya Dkt. Samia Suluhu Hassan na Asilimia 40 itachangia fomu ya Ubunge ya Ndaisaba George Ruhoro katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025" - Mwalimu Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.

"Walimu Wilaya ya Ngara walikuwa hawajapandishwa madaraja kwa kipindi kirefu, lakini kupitia Serikali sikivu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan walimu wameweza kupandishwa madaraja, hivyo wanamshukuru sana Rais Samia" - Mwal. Allen Deogratius, Mwenyekiti CWT Wilaya ya Ngara.

Wakuu hao wa Shule wakiongozwa na Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Ngara Mwalimu Allen Deogratias Marton wameahidi kwa kauli Moja kuwa mabalozi wa Serikali ya Awamu ya Sita Katika maeneo yote watakayofika ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Walimu hao pia wametuma Salamu kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Kumuomba awarejeshee Jembe lao Ndaisaba Ruhoro ambaye amekuwa kimbilio la walimu wa Ngara katika kupigania Masalahi yao hususani suala la Kikokotoo.

Akiwahutubia Walimu Wakuu hao kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Imani kubwa waliyonayo kwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Lakini pia, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amewashukuru walimu hao kwa Upendo Mkubwa waliomuonyesha na akaahidi kuwapigania stahiki zao kadri ya uwezo wake wote.

Pamoja na hayo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amegawa Mitungi ya gesi kwa Shule zote za Serikali Katika ngazi ya Msingi na Sekondari.

View attachment 2866513
#SamiaTena2025
#NgaranaNdaisabaDamDam
Aiseeee
 
Back
Top Bottom