Ndo maana wanachezea tu serikali baada ya kuona mindset zao zimepindaHivi hii kada ya ualimu ina matatizo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana wanachezea tu serikali baada ya kuona mindset zao zimepindaHivi hii kada ya ualimu ina matatizo gani?
Haya majitu ni ya kuyaacha tu yaburuzwe.hakina haja ya kuyatetea majitu ambayo yamelainiwaHivi wakichangiahana kwa ajili ya Mbowe au Lissu watabaki ofisini kweli?
Upuuzi mkubwa lulazimisha kada za kitaaluma kufanya siasa mahala pa kazi
Hakuna kulazimishwa walimu vichwa vyao vimeyumbaHapo wamelazimishwa hakuna mwalimu anayependa kutoa hela
Waalimu ni kada kandamizwaHaya majitu ni ya kuyaacha tu yaburuzwe.hakina haja ya kuyatetea majitu ambayo yamelainiwa