Ng'arisha ngozi yako kwa njia za asili

Ng'arisha ngozi yako kwa njia za asili

Nyie hamtumii Bio-Oil maanake promo inayopewa natamani nionane na mrembo anaetumia!
Mimi natumia ila pia sijaona mabadiliko. Makovu ya chunusi hayaondoki haraka. Slow kana kwamba situmii kabisa
 
Manjano +Liwa + rose water

Hii unaweza kutengeneza kama scrub

Unachanganya vyote kwa pamoja kupata uji mzito,

Unapakaa eneo husika na kuacha kwa dakika 15>>

Nawa na maji ya kawaida
Paka mafuta uliyoyazoea.

N.b waweza kutumia kimoja wapo kati ya hivyo.

Manjano inakataa baadhi ya ngozi hivyo kuwa makini
 
Hornet,
Mkuu baada y kuepua unachuja n kuhifaz kweny chip kW matumiz y kila cku au nilazima kutumia siku hip hio tu?
 
Back
Top Bottom