Ng'arisha ngozi yako kwa njia za asili

Nyie hamtumii Bio-Oil maanake promo inayopewa natamani nionane na mrembo anaetumia!
Mimi natumia ila pia sijaona mabadiliko. Makovu ya chunusi hayaondoki haraka. Slow kana kwamba situmii kabisa
 
Manjano +Liwa + rose water

Hii unaweza kutengeneza kama scrub

Unachanganya vyote kwa pamoja kupata uji mzito,

Unapakaa eneo husika na kuacha kwa dakika 15>>

Nawa na maji ya kawaida
Paka mafuta uliyoyazoea.

N.b waweza kutumia kimoja wapo kati ya hivyo.

Manjano inakataa baadhi ya ngozi hivyo kuwa makini
 
Je asali?
Asali inaweza kutumika yenyewe kama scrub ama ikachanganywa na limau.

Pia inafaa kulainisha lips zilizopauka kwa kupaka kiasi wakati wa kulala.
 
Nilikuwa natafuta jinsi ya kusteam.
Ahsante Hornet
 
Hornet,
Mkuu baada y kuepua unachuja n kuhifaz kweny chip kW matumiz y kila cku au nilazima kutumia siku hip hio tu?
 
Sie huku twapaka hata mafuta ta kupikia twanukia kama maharagwe hakuna shiida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…