Ngasa: Kama kutupiwa majini Fei angekuwa chizi

Ngasa: Kama kutupiwa majini Fei angekuwa chizi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kuna kipindi nilihamia team nyingine kutoka yanga nikakuta kule mashabiki wachache nishazoea shangwe kufunga kukawa shida nikasema ndio nimeisha au Ikn sikuwaza majini.”

“Kuna wachezaji wakitoka Simba, Yanga, Azam kufunga ni ngumu wanaenda team Mashabiki wapo 30 mpinzani…..
haogopi chochote, uwezo wako ndio watakiwa uwaonyeshe. Sasa umeondoka ktk team umeuzwa watu wamepiga pesa wamefurahi unakuja umetupiwa jini.”

“Basi Fei Toto angekuwa chizi majini ya kusafiri na majini ya hapa hapa yanamuona. Hahaha team ni kubwa kuliko mtu yoyote hii ni story fupi wachezaji. Kuna maisha baada ya soccer tuishi vizuri na shule tulizo pita kesho tutasomesha watt wetu kwa Ada ndogo. - Ngassa


20240213_130225.jpg
 
Kuna kipindi nilihamia team nyingine kutoka yanga nikakuta kule mashabiki wachache nishazoea shangwe kufunga kukawa shida nikasema ndio nimeisha au Ikn sikuwaza majini...
Huyu akili zake fupi kama yeye alivyo....ndio maana ni 0 ktk football kwa kuendekeza mapenzi kuliko kazi....mijini aliyeibeba imemdumaza akili hadi umbo
 
Kuna kipindi nilihamia team nyingine kutoka yanga nikakuta kule mashabiki wachache nishazoea shangwe kufunga kukawa shida nikasema ndio nimeisha au Ikn sikuwaza majini....
Kupitia haya maelezo; nimegundua

Uncle
Mrisho Ngasa mmoja ni sawa na:

Mashabiki 10,000 wa mbumbumbu Fc, akina Ahmed Ali 100,000, na pia akina Mayele 1000.

Kwa kweli Uncle ametisha sana kupitia haya maneno yake ya busara.
 
Back
Top Bottom