Ngasa: Kama kutupiwa majini Fei angekuwa chizi

Ngasa: Kama kutupiwa majini Fei angekuwa chizi

Anamuona FEI Yuko Sawa?. Confidence Hana akishangilia wanamjia juu. Hajatupiwa jini Tu Bali vibwengo kabisa.
Watu wa simba acheni zenu 😂😂😂😂😂 we fala umenichekesha 😂😂😂😂 daaah acheni uswahili bwana Fei kajibugisha mwenyewe
 
Lakini kwanini Yanga wanakosa shukrani kwa Mayele? Kuwabeba kote kule leo wanamlipa kwa kumtupia majini?
It was win to win situation,kila mmoja amefaidika , pengine Mayele Zaidi maana thamani aliyoipata Yanga ndio iliyompa Dili la pyramids,ndio iliyomfanya ajumuishwe national team.

Mengine Ni after school.

Kwa hivyo usiwe mtu mwenye jicho moja
 
Tatizo la Mashabiki wa majini fc mchezaji ambaye bado wanamhitaji akihama kutafuta changamoto timu nyingine wanajenga mabifu .

Haruna nyionzima jezi yake ilichomwa wakati anahamia simba.

Ibrahim Ajib kurudi timu yake ya utotoni simba ilikuwa bifu hadi alirushiwa majini hadi leo haeleweki eleweki.

Morisson alichokipata yeye mwenyewe anajua wakati anahamia simba . Akaamua kukubali yaishe akarudi

Feitoto kinachoendelea kila shabiki anayefuatilia mpira wa Tz anajua.

Mayele katupiwa majini hilo halipingiki , Ngasa asituchanganye.
 
Kuna mtu mlimwita Mlevi, na mwingine mlimwita hana akili..!!
 
Kupitia haya maelezo; nimegundua
Uncle
Mrisho Ngasa mmoja ni sawa na:-
mashabiki 10,000 wa mbumbumbu Fc, akina Ahmed Ali 100,000, na pia akina Mayele 1000.

Kwa kweli Uncle ametisha sana kupitia haya maneno yake ya busara.
Kwa haya maelezo uliyoandika bila shaka una mapepo na hayo mapepo yalitupiwa majini kabla ya kukuingia ww
 
Huyo mkongonani kashazoea kusujudiwa na kuabudiwa na mashabiki wa Majini FC ...sasa kafika kwa waarabu wa misri ambao hawana shobo na ngozi nyeusi lazima aone maisha magumu.

Halafu pyramids anagombania namba na LAKAY ,msauzi Africa ambaye anamkalisha benchi.
 
Back
Top Bottom