Ngasa: Kama kutupiwa majini Fei angekuwa chizi

It was win to win situation,kila mmoja amefaidika , pengine Mayele Zaidi maana thamani aliyoipata Yanga ndio iliyompa Dili la pyramids,ndio iliyomfanya ajumuishwe national team.

Mengine Ni after school.

Kwa hivyo usiwe mtu mwenye jicho moja
Sasa ndiyo mumtupie majini?
 
Huyu Ngasa tulimtumia Majini ya kumfa ya asiwe na akili akawa anatapanya pesa zake. Sasa hivi choka tu mbaya. Hana lolote.
 
Huyu Ngassa nae hajielewi,
Fei anakuaje chizi na Majini yanatokea kwao?? Yaani majini aliyotupiwa Mayele yanatokea Zanzibar Kwa kina Fei, ambako mengine Fei anajuana nayo. Ataje mwengine lakin sio Fei
 
Ngasa anawafahamu wanaotupia wachezaji majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…