Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

ukitaka kuamini soka letu la kishenzi tujaribu kujikumbusha jambo kidogo.

msaada kukitaja kikosi cha simba kile akiwepo Mbwana Samatta, then tutaona ni wachezaji wangapi wamesalia iwe pale Simba au wanaendelea kucheza soka.

Ni ujinga akina Ajibu kung'ang'ania Simba na Yanga, hizi timu zinatumia wachezaji kama big g

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Lakini hiyo ishu ya vipimo sidhani kama ina mashiko sana, nakumbuka Ngasa alienda kucheza Marekani mpira ule ulioneshwa live na Itv kama sikosei, pia Ngasa alienda kufanya majaribio Ulaya? Je huko kote hakukuitajika vipimo? Mi nadhani tatizo kubwa la wachezaji wa bongo hawapo kibiashara wao wanajali mapenzi yao ya timu tu
 
Ulaya na Marekani wanakufanyia majaribio kwanza ukishafuzu ndio wanakupima afya kabda ya kukupa mkataba. Kwa baadhi ya nchi za Afrika hasa za Waarabu kupima afya ni LAZIMA.

Kuna mchezaji flani mahiri aliuzwa na Simba kwenye Club moja ya Afrika Kaskazini. alipopimwa afya na status yake kujulikana ile club ilimkubali kwa sharti la ku review terms za mkataba ikiwamo kupunguziwa bei ya kumnunua
 
Ok hapo sawa, sasa ye si angekubali hata angelipwa m 900 bado ni hela nyingi kuliko kukomaa bongo
 
Ok hapo sawa, sasa ye si angekubali hata angelipwa m 900 bado ni hela nyingi kuliko kukomaa bongo
Ni kweli nadhani pia hakupata ushauri mzuri hasa kutoka watu wa Yanga. Hawa viongozi wa mpira wa Bongo wanawaza mechi ya Simba na Yanga tu.

Nakumbuka hata Lunyamila aliponzwa na mambo ya u Yanga na Simba akapoteza bonge la dili nje
 
Nakumbuka kusoma Mwanaspoti hii ishu kuanzia Ngasa kutakiwa mpaka mapichapicha yaliyofuata.

Hii deal ilikuja baada ya ile ya Westham.

Alizizingua chansi 2 za kua bilionea.
 
Kabisa. Majuto mjukuu. Huwa inauma sana unapokula msoto kwa kugundua kwamba ukishapotesa chance ya kutengeneza mshiko. Unaweza kujiadhibu vibaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa unazingua tumuoneeni huruma hakuna stress mbaya kama ukija kugundua kuna mahali ulifanya ujinga ukaharibu future yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifanya ujinga wa karne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu okwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…