Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

Ni hatari kabisa. Utakuta Prof au PhD holder hawezi kuongea sentensi moja ya Kiingereza, lugha ambayo imemfundisha kuanzia Form I hadi kupata u Profesa wake!!!

Kwani ni Prof wa kiingereza? Prof wa kiswahili kiinglish kinamhusu nini? Btw language mastery ni interest pia kusoma sana kwa kutumia lugha flani haikufanyi mbobezi wa lugha hiyo.
 
Sijajua mkuu maana mimi nimetoa kwenye gazeti lao la online na sijaona jina la mwandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mana kipindi tupo kwenye kituo Fulani cha kuendeleza vipaji chini ya miaka 14 tuliambiwa na kocha wetu kosa la ki ufundi alifanyalo kwa kipindi hicho hadi tukaambiwa atakuja kujuta na kumbuka sauti ya kocha wetu yule mpaka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mpumbavu sana
 
Look, if you had one shot or one opportunity
To seize everything you ever wanted in one moment
Would you capture it, or just let it slip?

...

You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime you better


Eminem - "Lose Yourself".

From the motion picture "8 Miles"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…