Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

Mawazo haya baba yangu anayo sana hataki mtoto wake akolewe wala kuoa mbali na pia hapendi wakaishi mikoani....kaka zangu walifosi tu kuhama mkoa na kuolea mkoani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema hivyo waniumiza mkuu wanikumbusha mama yangu.
Nilijaaliwa kusakata kabumbu hasa...mama yangu akakataa mimi kwenda Sweden. Leo hii we acha..
 
Alifichwa kama mwali vile..Poor Ngassa..acha azeeke na njaa zake..unless kuna sababu nyingine ambayo ambayo hatuijui,huu utakuwa ni ujinga kabisa
Huwa wanadanganywa kwamba wao ni ma super stars au celebrity.

Sasa alikuwa bado ana subiri waanze kumbembeleza, utadhani anacheza soka la ulaya.
Hata ikiwepo sababu haitakuwa ya maana, unaweza kuta kalipiwa hotel yeye na mkewe hakukumbuka kuna kesho.
 
Dah pole sana mkuu,mama akikuona anajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimehangaika sana maishani mwangu yalitawaliwa na ujanja ujanja mwingi ili niweze ku survive. Hana la kusema...huwa anajuta sana. Na mpaka navyoandika haya maisha ya familia si kivile. Bi mkubwa alicheza blanda pesa za kustaafia na mzee the same hakua akijali familia. We acha tu..
 
Pole mkuu...muhimu uhai[emoji4][emoji4]
Nimehangaika sana maishani mwangu yalitawaliwa na ujanja ujanja mwingi ili niweze ku survive. Hana la kusema...huwa anajuta sana. Na mpaka navyoandika haya maisha ya familia si kivile. Bi mkubwa alicheza blanda pesa za kustaafia na mzee the same hakua akijali familia. We acha tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona niliwahi kusikia sababu kuu ya Ngasa kukataa/kuogopa kwenda El Mereikh ni hofu aliyokua nayo ya kufanya kipimo fulani cha afya ambacho alikua na hofu nacho kutokana na historia ya "alikopitapita"? Kwamba pamoja na uzuri, ubora na unono wa mkataba lakini ilikua lazima apime na afaulu vipimo vya afya
Bila kupepesa macho hii inaweza kuwa sababu kubwa ya kukataa. Naunga mkono hoja
 
Bongo kuna wanaume wana gene za kike, wana ile nataka sitaki.

Ukimtongoza/Ukizungumza na msichana kwa nia ya kumtaka kimapenzi na labda hata kumuoa, Atakwambia nina boyfriend, mara hili na lile. Huwa ahawaangalii how serious the issue might be, wao hukataa tu. wanataka umbembelezeeee wee , eti ukifanya hivyo ndio unampenda.

Huyo naye ukiangali story hiyo, ilikuwa ni the same situation.

Sasa mwanaume unafichwaje? kwani ukipatikana ukasikiliza kasha uka kataa au ukatafuta wataalamu wakautizama mkataba wako, na ukaamua kama mwanaume.

Eti mwananume unafichwa kama demu vile, hahaha.
Edo Kumwembe aliwahi kuandika kuhusu ujinga wa Ngassa,Akasema time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20200102_065357_com.instagram.android.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom