Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,245
Habari wanajamii, kuna habari ambazo wanachuo wanaosoma katika vyuo vya kilimo kwa ngazi ya cheti kama mati Uyole, Tumbi, Ilonga, Ukiruguru, Mlingano, Mati Mtwara na vingine kwamba wanapotarajia kumaliza mafunzo ya kilimo kwa ngazi ya cheti mwaka huu hawaruhusiwi kuomba nafasi za masomo kwa mafunzo ya kilimo ngazi ya diploma, hii inatokana na kuwa hawaruhusiwi kutuma maombi na matokeo yasiyo kamili yaani transcript, hivyo watalazimika kukaa nyumbani kwa mwaka mzima mpaka matokeo yawe kamili, yaani cheti kamili ngazi ya cheti,. Je, kuna ukweli juu ya hili tafadhali naomba ufafanuzi.