Ngazi ya cheti vyuo vya kilimo hawataaruhusiwa stashahada

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
3,435
Reaction score
4,245
Habari wanajamii, kuna habari ambazo wanachuo wanaosoma katika vyuo vya kilimo kwa ngazi ya cheti kama mati Uyole, Tumbi, Ilonga, Ukiruguru, Mlingano, Mati Mtwara na vingine kwamba wanapotarajia kumaliza mafunzo ya kilimo kwa ngazi ya cheti mwaka huu hawaruhusiwi kuomba nafasi za masomo kwa mafunzo ya kilimo ngazi ya diploma, hii inatokana na kuwa hawaruhusiwi kutuma maombi na matokeo yasiyo kamili yaani transcript, hivyo watalazimika kukaa nyumbani kwa mwaka mzima mpaka matokeo yawe kamili, yaani cheti kamili ngazi ya cheti,. Je, kuna ukweli juu ya hili tafadhali naomba ufafanuzi.
 
Kiukwel ndivyo ilivyo jaribu kutafuta vyuo vya private wanaweza kuchukua
 
Yaweza kuwa ni kwel kwa sabab. mf Mati uyole ratiba inaonyesha watamaliza mitihan ya mwisho trh 30.6.015 na mwisho wa kutuma maombi ni trh hiyo hyo na uwe na vyeti vyote hivyo wanao maliza mwaka huu hawakidhi vigezo hawana cheti na transcript.
 
Back
Top Bottom