Ngedere ukimwekea ndizi na pesa atachangua ndizi: onyo kwa wapenda ajira

Ngedere ukimwekea ndizi na pesa atachangua ndizi: onyo kwa wapenda ajira

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Ukweli ni kua biashara na kazi, bora biashara, lakini kutokana na hofu, uzembe, kutotaka uthubu, tumejikuta wengi tumeishia kuchagua kazi, sawa na na ngedere asijue kua ela inaweza nunua ndizi, business makes more money.

1729431022310.jpg
 
Maisha nisanaa.biashara nitawi la sana,askari yupo kwenye tawi la sanaa.hivyo tambua kwamba hawa wote ndio wanaikamilisha movie husika.
Ukimtoa daktari kwenye movie kunahatua ambayo watu wataonekana wanaumwa maradhi hivyo lazima awepo mtu ambae atakua anatoa huduma ya matibabu ndio daktari👈
Hivyo tambua kwamba wauzaji na wanunuaji lazima wawepo.ili kuipa maana yamaisha.
 
Kuna chalii mmoja alikuwa Manager katika kampuni mmoja jijini
Alikuwa anasimamia watu zaidi ya 200
Aliijua kazi vizuri sana na kila kitu kwenye shirika hilo

Ujuzi wake na hela zake akaamua kuachana na kuajiriwa ili afungue kampuni yake
Alisubiri mwaka mmoja ndio akafungua kampuni yake
Baada ya miaka 3 akarudi kuomba ajira tena
Shirika lilimshinda
Onyo sio kila mmoja anaweza kufanya biashara bali wengine ni waajiriwa tu
 
Back
Top Bottom