Ngedere ukimwekea ndizi na pesa atachangua ndizi: onyo kwa wapenda ajira

Katika kitabu cha Robert anasema hata Kama umeajiriwa sehemu unalipwa vizuri au haulipwi vizuri Ila unbidi kuwa na MTU na wewe umemujiri ambaye atakuwa anakusaidia kutatua matatizo yako ya pesa.

Maana anadai unapoenda kufanya kazi ya MTU unakuwa unamsaidia huyo MTU kutatua matatizo yake ya PESA.
 
Maisha nisanaa.biashara nitawi la sana,askari yupo kwenye tawi la sanaa.hivyo tambua kwamba hawa wote ndio wanaikamilisha movie husika.
Ukimtoa daktari kwenye movie kunahatua ambayo watu wataonekana wanaumwa maradhi hivyo lazima awepo mtu ambae atakua anatoa huduma ya matibabu ndio daktarišŸ‘ˆ
Hivyo tambua kwamba wauzaji na wanunuaji lazima wawepo.ili kuipa maana yamaisha.
 
Kuna chalii mmoja alikuwa Manager katika kampuni mmoja jijini
Alikuwa anasimamia watu zaidi ya 200
Aliijua kazi vizuri sana na kila kitu kwenye shirika hilo

Ujuzi wake na hela zake akaamua kuachana na kuajiriwa ili afungue kampuni yake
Alisubiri mwaka mmoja ndio akafungua kampuni yake
Baada ya miaka 3 akarudi kuomba ajira tena
Shirika lilimshinda
Onyo sio kila mmoja anaweza kufanya biashara bali wengine ni waajiriwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…