Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
kamwambie mwinzi mwenzako Ngeleja tunataka pesa zetu za ESCROW .Nawe si wale wale tu wasio na busara, unapenda kwa jirani unasahau kujenga kwako? aibu iwe juu yako. Ili upate mabadiliko ni lazima uwe na msingi na msingi huo ndio Katiba! Umesinzia wapi sasa. Isome na uipigie kura muda utakapofika ili ulete mabadiliko ndani ya nchi yako. Usibaki kulalamika kama mtu asiye na mwelekeo.