kamwambie mwinzi mwenzako Ngeleja tunataka pesa zetu za ESCROW .Nawe si wale wale tu wasio na busara, unapenda kwa jirani unasahau kujenga kwako? aibu iwe juu yako. Ili upate mabadiliko ni lazima uwe na msingi na msingi huo ndio Katiba! Umesinzia wapi sasa. Isome na uipigie kura muda utakapofika ili ulete mabadiliko ndani ya nchi yako. Usibaki kulalamika kama mtu asiye na mwelekeo.
Nawe si wale wale tu wasio na busara, unapenda kwa jirani unasahau kujenga kwako? aibu iwe juu yako. Ili upate mabadiliko ni lazima uwe na msingi na msingi huo ndio Katiba! Umesinzia wapi sasa. Isome na uipigie kura muda utakapofika ili ulete mabadiliko ndani ya nchi yako. Usibaki kulalamika kama mtu asiye na mwelekeo.
View attachment 237522piga kura ya hapana
Nawe si wale wale tu wasio na busara, unapenda kwa jirani unasahau kujenga kwako? aibu iwe juu yako. Ili upate mabadiliko ni lazima uwe na msingi na msingi huo ndio Katiba! Umesinzia wapi sasa. Isome na uipigie kura muda utakapofika ili ulete mabadiliko ndani ya nchi yako. Usibaki kulalamika kama mtu asiye na mwelekeo.
Heshima yako mkuu wala usipoteze muda wako kushindana na huyu mwehu wa ccm wanaipigia debe katiba iliyoandikwa na maharamia wenzake wa ccm.
pamoja sana hakika hatukubali upotoshaji wowote utaofanywa na hawa maharamia wa ccm nakutakia usiku mwema mkuu.Heshima ikurudie Mkuu. Hawa supporters wa wahuni wacha tule nao sahani moja badala ya kuwaacha waupotoshe umma wa Watanzania.
Naona kuna jitihada kubwa ya kusema kuwa katiba pendekezwa si ya chama bali ni ya taifa. Wote tuliona jinsi Rasimu Ya Katiba ya Jaji Warioba ilivyopigwa vita na ccm na kutekwa na chama hicho, na baadae kulazimisha kutunga hiyo katiba bungeni ili kuipa sura ya utaifa. Hatujasau, si siku nyingi ambazo zimepita. Rasimu ya Katiba ya Warioba ndiyo iliyosheheni maoni ya wananchi, na kwa mantiki hiyo wananchi kwa wingi wao wataikataa katiba pendekezwa ya mafisadi.