Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
Huyu jamaa kama ana ustaarabu au heshima yeyote angejiuzulu tu.....
Ingekuwa kila wizara inayochemsha Waziri wake anajiuzuru ''kirahisi rahisi'' namna hiyo, basi baraza zima lingepaswa kuziuzuru.