General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,287
- 2,663
TANESCO njoo mjibu kesi hukuHii imekuwa hali ya kawaida Umeme kukatika mara kwa mara.
Mi huwa najiuliza sana...???
Wanaweza amua wakakata umeme kila siku.Haijawahi pita Week nzima bila umeme kukatika.
Sasa kama Inchi inazalisha umeme mwingi mpaka wa ziada sa inakuweje kuishi kwenye janga la umeme Kiasi hiki kila siku.
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa hiyo changamoto,Hii imekuwa hali ya kawaida Umeme kukatika mara kwa mara.
Mi huwa najiuliza sana...???
Wanaweza amua wakakata umeme kila siku.Haijawahi pita Week nzima bila umeme kukatika.
Sasa kama Inchi inazalisha umeme mwingi mpaka wa ziada sa inakuweje kuishi kwenye janga la umeme Kiasi hiki kila siku.
Admin AIMiaka nenda Rudi maboresho ndo kinga ya kukatika Umeme mara kwa Mara...???
Alafu Sasa mnatuwekea Bots kunibu kero zetu
Mita chache lakini hakuna tofauti mpaka Sasa tangu Bwawa la Nyerere lizinduliwe.Kwa kifupi hakuna JIPYA.Hapo bwawa la Nyerere si mita kadhaa tu
Hahahaha na Biashara yangu hapa nateseka na Umeme tuu huu mwaka wa 10...Yaani hakuna MpyaNgerengere mtaa wa kati balaaa nimekaa hapo miaka ile.
Kwa Kifupi Ngerengere hakuna Ustaarabu wa kukatika Umeme haijalishi iwe Weekend ama siku za Kazi..Umeme UNAKUWA wa kuonja tu...hili eneo nalolaaannahisi kuna boss wa tanesco
hapakatikagi umeme
BOTSHabari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa hiyo changamoto,
Tafadhali fahamu kuwa, pale ambapo huduma ya umeme husitishwa, mara nyingi huwa ni kutokana na matengenezo na maboresho ya miundombinu au hitilafu za dharura ambazo si rahisi kukadiria.
Kwa ajili hiyo, tuna mifumo ya mawasiliano inayotuwezesha kutoa taarifa kwa wakati, pamoja na wataalamu walio tayari muda wote kushughulikia hitilafu na kutoa huduma za dharura.
Tunashukuru kwa uelewa na ushirikiano wako. Asante.^MY
Nimeishi hapo zamani tareh 15 na mwisho wa mwezi ni mtafute mtafute mtoto hatumwi kwa salmini wala UremboHahahaha na Biashara yangu hapa nateseka na Umeme tuu huu mwaka wa 10...Yaani hakuna Mpya
aisee pole sanaKwa Kifupi Ngerengere hakuna Ustaarabu wa kukatika Umeme haijalishi iwe Weekend ama siku za Kazi..Umeme UNAKUWA wa kuonja tu...
Na kuaidi na Kesho lazima ukate Tena
Sio poaa ni wanakata hawajali...usalamaHuko.Ngere ngere si kuna kambi kuu ya Jeshi na ya makomando, sasa umeme unakataje holela?
LEO TENA TARH 6 SEPT 26 BADO TUNAENDELEAA KUTESEKA NA KUKATIKA UMEME TOKA ASUBUHI SANNE...MPAKA SASA HAUJARUDI.LICHA YA KUJENGA BWAWA LA UMEME LA JULIUSA NYERERE.Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa hiyo changamoto,