Ngereza: Hata Mo atoe 500million Simba ni mbovu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Binafsi nimependa hamasa iliyotolewa na rais wa heshima wa @simbasctanzania kwa kutoa ahadi ya milioni 500 iwapo timu itafanikiwa kutinga nusu fainali,lakini kama timu haitokuwa kwenye kiwango bora basi hii ahadi haitokuwa na maana yoyote kikubwa kinachotakiwa ni timu kujiandaa vizuri - @alexngereza._

#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish

#Tv3Tanzania #GameOn

 
Simba mbovu in comparison to what? Timu imeingia nane bora Africa halafu unasema mbovu? Ninyi mashabiki academia mnatuharibia timu kabisa kwa ushabiki wenu maandazi. Ulitaka ubora upi? Achukue kombe ndio ulizike? Jifunzeni kuappreciate mafanikio ndipo mtakapowatia moyo wachezaji na wawekezaji. Au ni kwa kuwa yanga ameonekana ku improve kiasi misimu hii miwili basi wewe unatumia kigezo hicho kuidhihaki Simba? Au mlitaka iwe kama Real Madrid?
 
Nikweli, angetumia hizo pesa kwa kununua wachezaji wenye viwango bora,ingesaidia zaidi
 
Anamaanisha ....timu inapata matokeo Kwa timu mbovu pia
 
Ila kwel, japo mimi sio simba hii umesema ni fact. Timu imeingia mzunguko wa 1/4 inapambana kutoboa 1/2, unatumia vigezo gan kwamba hii timu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…