Ngilu na balala

Ngilu na balala

Kunta Kinte

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
3,690
Reaction score
1,288
Kwa nini hawa wawili pamoja na kushindwa kwenye majimbo yao bado Uhuru Na Ruto wamewapa heshima kubwa?
 
Kwa sababu ni sehemu ya timu ya ushindi na pia ni taswira ya Jubilee coalition kama kielelezo cha anuai yao.

Nahisi kuna cabinet posts zinawasubiri.....
 
Kwa nini hawa wawili pamoja na kushindwa kwenye majimbo yao bado Uhuru Na Ruto wamewapa heshima kubwa?

Kama kuna kura alipata Uhuru Mombasa na Ukambani ni sababu ya hawa watu. Walikuwa bega kwa bega na Uhuru tangu mwanzo. Hawa ni best loosers lazima wawemo kwenye baraza la Uhuru, watu watake wasitake!!!! Kampeni zote za Uhuru kwenye maeneo hayo zilifana shauri ya uwepo wa hawa watu!!

Watu wanajua timing bwana!!! Pole yake Kalonzo Musyoka alibug steps men!!!
 
Walishindwa majimboni mwao kwa kuunga mkono UK/Ruto team
 
Yes! Walikuwa royal sana kwa UhuRuto team. Sasa lazima hiyo team iwabebe na ndo maana walikuwa hawakauki midomoni mwa UhuRuto kwenye hotuba zao za kukubali ushindi.
 
Back
Top Bottom