Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile methali haikuwa na tatizo. Mie tatizo nililoliona ni pale huyo bwana aliposema ' Kikwete hakufunzwa na mama yake....' It was uncalled for. Angeishia kwenye hiyo methali watu wasingemlaumu. Lakini kumhusisha mama yake haikukaa vizuri. Kuna watu wengi wasiompenda Kikwete lakini hawakufurahia hili.
Ile methali haikuwa na tatizo. Mie tatizo nililoliona ni pale huyo bwana aliposema ' Kikwete hakufunzwa na mama yake....' It was uncalled for. Angeishia kwenye hiyo methali watu wasingemlaumu. Lakini kumhusisha mama yake haikukaa vizuri. Kuna watu wengi wasiompenda Kikwete lakini hawakufurahia hili.
Duh Muleba ipi? Kusini au Kaskazini?Mkuu Dickson,mimi nshawahi kuhandika hapa Jamvini kuwa siku utakapopelekwa mahakamani kwa kesi iyo nami napanda mahakamani kuishtaki serikali kwa kufundisha matusi primary. Mi nakumbuka nilipokuwa shule ya msingi nakumbuka nilifundishwa methali hii. Pia niko najiandaa kuanzisha mchakato kule muleba,nataka kuipanua Chadema mana naona haijaenea kule watu wanaitaka lakini hawajapata wa kuwaelekeza,pia ntakuomba unipe sapoti ntakapoomba ushirikiano. Nakutakia siku njema.
Re: Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?Ndugu zangu, nimechelwa sana kujibu tuhuma dhidi yangu kwani ni mimi Dickson Amos Ng'hily ndo nilituhumiwa kumtukana Rais Kikwete....Nway mengi yamesemwa..Ndugu zangu...ninachoseam ni kile kile nilichowaambia police....sikumtukana rais coz urais ni taasisi na kamwe siwezi kuitukana..ninaiheshimu sana...ila mimi nilimuongelea bwana mmoja anaitwa Kikwete....Na yale niliyosema siyo matusi...na ukweli sikusudii na sitarajii kuomba msamaha kwani ninaamini nilichokisema siyo tusi...Na ukweli sijutii nilichokisema na hata polisi niliwaeleza na ndio maana baada ya kuhojiwa kwa saa tano...waliniachia huru na kunipa onyo kuwa japo sio tusi ila wanaomba nisirudie kusema maneno kama hayo.....Wanaotaka maelezo zaid wanaweza kuwasiliana na mimi moja kwa moja kwa kutumia barua pepe yangu ya nghily@hotmail.com au dick333amos@yahoo.com au kwa simu ya kiganjani ya +255 71 553 9602, na +255 75 453 9602Peeeeoooopleeeee..........:israel:
Asanteni kwa michango yenu....
Kwa mtindo Huu Chadema basdo ipo kwenye mapambano,, na inaendelea kusaka Kura za 2015, uraisi na wabunge majimboni,, naomba tuiunge mkono kwanguvu ya watuuu
Duh Muleba ipi? Kusini au Kaskazini?
Maana kusini kumekucha sana. Safari hii walikuwa na viti vingi sana vya udiwani katika hali ya kushangaza sana. Kama ni huko najua una mtaji tayari. Jipange uanze sasa not later!
Tangu mwanzo nilijua no case to answer ila ilikuwa ni vihelehele wa CCM wanaotafuta vyeo vya hisani maana hivyo ndivyo vitolewavyo na CCM walilifanya issue ili kikwete awaone bora.
Hivi mambo anayoshadadia Makamba unadhani huwa yana maana? Ni mzee aliyehishiwa hekima na sasa hivi anatumia mdomo kufikiri. Hivyo anasema lolote tu.
Haya tutaona hapo mutapoingia ikulu namna mutavotukana watanzania ....muungu aepeshe mbali....