Ngo ngo ngo ngo..................

Alkebulan

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
80
Reaction score
160
nimekua nikiisikia 2 jamiiforums wa2 wakiitamka na kwenye mitandao na brogu tofaut tofaut. lakin nilipo itembelea kwa mara ya kwanza sikuamini nilicho kikuta kweli jf ni the home of great thinkers!! HODI HODI wenyej nikaribishen kwenye iki kisima cha elimu tuendelee kuelimishana.
 
Karibu sana, ila kabla hujaingia vyumbani, soma na kufuata masharti ya JF.
 

Wakaribishwa sana..
 
Lyagwamawe, karibu sana!.
 

Karibu mkuu...
 
Karibu sana Jf. hapa tunaita Watu na sio wa2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…