Ngo- ngo- ngooo!...hodi

Lee2

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
46
Reaction score
15
Kwa upele, dhati na heshima naomba mnifungulie mlango niingie, nina mateso ya kila aina....! wezangu wengi nimewaacha huko nitokako, Igawa nao wameniagiza kuwaambia kuwa wapo njian wanakuja kwa kifupi huko nilikotoka nimepachoka mfano: tunakaririshwa na kulazimishwa ndiyo iwe hapana na hapana iwe ndiyo. Madaraka wapeana na kurithishana kiukoo, huko rushwa ni jadi, ufisad usiseme, watoto wao wanawapeleka ulaya wakwetu,shule za kata, kibaya zaidi watulazimisha kubaki kwao eti wao ndo watawala. Eti ni CCM ndiyo chama sahihi kumbe hamna lolote unafiki mtupu.
narudia... Hodi CHADEMA NIPOKEENI. Nitapambana mpaka kieleweke, pia nitakuwa msitari wa mbele kama kamanda Mbowe,mnyika,lisu, msingwa,slaa,mdee halima heche,mawazo,lema nk.
NAOMBA MNIPOKEE.
 
Mmmmh! huyu mgeni ni kiboko... ngoja nilale nikamka nitakurudia.
 
...loh,haya karibu kamanda vaa gwanda nduli amecharuka hataki maoni ya wananchi. Tunaanza kuponda kichwa,Mungu yu pamoja nasi mpaka mwakani atakuwa amekwisha...
 
​duuuhh kaka siku ya kwanza tu umeshachagua chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…