Kwa upele, dhati na heshima naomba mnifungulie mlango niingie, nina mateso ya kila aina....! wezangu wengi nimewaacha huko nitokako, Igawa nao wameniagiza kuwaambia kuwa wapo njian wanakuja kwa kifupi huko nilikotoka nimepachoka mfano: tunakaririshwa na kulazimishwa ndiyo iwe hapana na hapana iwe ndiyo. Madaraka wapeana na kurithishana kiukoo, huko rushwa ni jadi, ufisad usiseme, watoto wao wanawapeleka ulaya wakwetu,shule za kata, kibaya zaidi watulazimisha kubaki kwao eti wao ndo watawala. Eti ni CCM ndiyo chama sahihi kumbe hamna lolote unafiki mtupu.
narudia... Hodi CHADEMA NIPOKEENI. Nitapambana mpaka kieleweke, pia nitakuwa msitari wa mbele kama kamanda Mbowe,mnyika,lisu, msingwa,slaa,mdee halima heche,mawazo,lema nk.
NAOMBA MNIPOKEE.
narudia... Hodi CHADEMA NIPOKEENI. Nitapambana mpaka kieleweke, pia nitakuwa msitari wa mbele kama kamanda Mbowe,mnyika,lisu, msingwa,slaa,mdee halima heche,mawazo,lema nk.
NAOMBA MNIPOKEE.