Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

Leo kuanzia paragraph ya kwanza imenifanya nifikirie sana boss Kiduku Lilo hasa hasa:
1. Una miaka 40 huna gari huna nyumba, hata ukinunua uta-enjoy miaka 10 au 20 tu.
2. Kujilazimisha kusoma huku ukijua mfumo wa elimu hauwezi kukukomboa.
3. Mtu umepambana toka utotoni halafu unaharibu kipindi cha balehe.
4. Huna cha kurithi kwa wazazi zaidi ya madeni halafu unafanya ujinga.
5. Hujawaacha nyuma hao ndugu zetu wanataka gari halafu hawajui mafuta yatatoka wapi.
 
Vijana tufanyeni kazi...hasa ninyi ambao hamna cha kurithi kwa wazazi wenu zaidi ya madeni na maradhi,masimango na mikosi. Fanyeni kazi kwa bidii katika kila jambo unaloweza lifanya. Go extra mile.usizimie moyo. Aluta Continua
🙏 🙏 🙏 ❣️

Leo umeongea jambo la msingi sana
 
Uwa wote mzee

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Naona leo umeamua kumwaga point eeh, šema ishu zako hujaacha ,

Safi mkuu ushauri mzuri na umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…